Find quality construction materials by category.
Saruji na vifaa vinavyotumika kutengeneza zege na kujenga msingi, kuta, sakafu na miundombinu mbalimbali.
Matofali ya kuchoma, block na paving blocks kwa ajili ya ujenzi wa kuta na sakafu.
Mbao za aina mbalimbali zinazotumika kwa ujenzi, useremala, kuezekea na kutengeneza samani.
Bodi za gypsum zinazotumika kutengeneza dari, kuta za ndani na mapambo ya nyumba.
Wall Putty za kusawazisha kuta, kuziba nyufa ndogo na kuandaa uso kabla ya kupaka rangi.
Vifaa vya kuezekea nyumba na majengo kama mabati, tiles za paa, misumari ya mabati na vifaa vingine vya roofing.
Bidhaa za chuma zinazotumika katika ujenzi kama nondo, square pipes, binding wire na vifaa vya kuimarisha majengo.
Vifaa vya mifumo ya maji na usafi wa mazingira kama mabomba, fittings, taps, valves na vifaa vya drainage.
Rangi za ndani na nje ya majengo pamoja na vifaa vyake kama brashi, roller na thinner.
Matanki ya kuhifadhia maji ya ukubwa na aina mbalimbali pamoja na vifaa vyake.
Kufuli, handles na vifaa vya milango kwa usalama, ulinzi na matumizi ya nyumba au biashara.
Masinki ya kisasa ya bafu na chooni yanayofaa kwa matumizi ya nyumbani, ofisini na sehemu za biashara.
Tiles za ukutani na sakafuni pamoja na gundi, grout na vifaa vya kufungia tiles.
Vifaa vya kufunga mfumo wa umeme kwenye majengo kama nyaya, switches, sockets, circuit breakers na vifaa vya lighting.
Vifaa vya usalama kama helmeti, glovu, miwani, viatu na maski kwa ajili ya ulinzi kazini.